maandamano ya amani katika uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia- hafla zilizoandaliwa na Alice Foundation
maandamano ya amani katika uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia- hafla zilizoandaliwa na Alice Foundation
Mwenyekiti na mwanzilishi wa Alice Foundation ambae pia ni mkurugenzi wa Alice Fashion World akimwelekeza jambo mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John mnyika katika uzinduzi rasmi wa kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia machi 8 2012 katika viwanja vya sanaa jijini Dar.wamama wakichangia wamazo katika uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia.
No comments:
Post a Comment