ACP Kiondo na Mwenyekiti na mwanzilishi wa Alice Foundation wakati wa mkutano na wananchi juu ya polisi jamii na ulinzi shirikishi |
wananchi wakisikiliza kwa makini wakati mgeni rasmi ACP kiyondo akihutubia juu ya polisi jamii na ulinzi shirikishi
Mkuu wa kituo cha polisi Urafiki Afande Paparika na mwenyekiti wa Alice Foundation Ambaye pia ni mkurugenzi wa Alice Fashion World na Founder wa Alice Foundation Ms. Alice James Dosi kushoto ni Mr. Chillo Bunto Volunteer wa Alice Foundation
Afisa mtendaji kushoto akifuatilia kwa makini mafunzo kutoka kwa ACP Kiondo
wananchi wakisikiliza kwa makini wakati mgeni rasmi ACP kiyondo akihutubia juu ya polisi jamii na ulinzi shirikishi
polisi jamii katika kata yetu ya Ubungo
No comments:
Post a Comment